Sehemu ya mahojiano yangu na mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) ambaye pia ni mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1995, 2000, 2005, 2010)
Amezungumzia mambo mengi juu ya chama, siasa za nchi na hata kujibu maswali toka kwa wasomaji mbalimbali waliouliza kupitia mtandao wa Facebook.Karibu umsikilize hapa
Ama tazama sehemu ya kwanza ya video ya mahojiano hapa chini
1 comment:
Hii nimeipenda MKUU.
HONGERA.
Post a Comment