Tuesday, March 20, 2012

Prof. Julius Nyang'oro katika "Ana kwa Ana ya Vijimambo Blog"

Hivi karibuni, blogger mwenzetu Luke Joe wa VIJIMAMBO alifanya mahojiano na Prof. Julius Nyang'oro wa Chuo Kikuu cha Carolina ya Kasikazini Nchini Marekani katika utaratibu wake mpya wa kutambulisha wadau mbalimbali waTanzania wanaofanya shughuli mbalimbali hapa Marekani.
Hapa anaeleza mambo mbalimbali kuanzia historia ya maisha yake kwa ufupi alikotoka mpaka hapa alipo, shughuli alizowahi kufanya, kwanini alichagua kuandika kitabu kuhusu wasifu wa Rais Kikwete badala ya Marais waliopita na ushauru wake kwa wale wanaotaka kujiunga na vyuo vya Marekani kwa ada nafuu!!
Karibu uungane naye

No comments: