Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake
18114 Samuel Circle
Hagerstown, MD 21740
Kwa ajili ya mazishi, accounts imefunguliwa kama ifuatavyo kupitia
Florah Anna Mnkande:
Bank of America - Routing# 052001633 na account# 446024022257Siku ya Jumatano Julai 18, 2012 - saa 10 jioni kutakuwa na harambee (mnada) itakayofanyika katika kanisa la “The Way of the Cross Gospel Ministries” (HUDUMA YA INJILI KWA NJIA YA MSALABA) lililopo
3621 Campus Drive,
College Park,
MD 20740.
Tafadhali shiriki kwa kuleta mchango wako au kitu cha kunadi.Tunatarajia mazishi yatafanyika Jumamosi Julai 21, 2012.
Ibada ya mazishi itaanza saa tano (5) asubuhi katika kanisa hilohilo hapo juu. Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na:
Baraka Daudi 301-792-8562
John Mbatta 703-863-2727
Ferdinand Shideko 240-476-6718
Salum Mkamba 443-538-1821
David Mtema 703-589-0616
Lutamila Sallu 202-487-1843
Julia Shirima 301-305-5731
Rossie Wasira Masika 240-706-0406 -----------------------------------------------------------------------------------------------
No comments:
Post a Comment