Tuesday, December 11, 2012

Ana kwa Ana na Ngouma Lokito

"Mzalishaji" wa Jamii Production Abou Shatry akiwa na Ngouma Lokito kabla ya mahojiano
Kama livyo desturi ya Jamii Production, kila tupatapo nafasi tunawaletea mahojiano na watu mbalimbali kuhusiana na mambo mbalimbali wanayofanya ama yanayotokea katika jamii yetu.
Na hivi karibuni tulipata nafasi ya pekee kukutana na kuhosjiana na mmoa wa wasanii maarufu na wakongwe zaidi barani Afrika na hasa katika "kungurumisha" lile gitaa zito, namzungumzia Shungu Omba almaaruf Ngouma Lokto ambaye alitueleza mengi kuhusiana na maisha yake katika muziki na namna ambavyo anaona muziki wa "enzi" alizoanza yeye na sasa.
Je! Ameshirikiana na wasanii gani wa Congo katika maisha yake ya muziki?
Je! Ni nini kinachomkera kuhusu muziki wa Congo hivi sasa?
Mbali na kupiga gitaa la bass, anafanya nini katika muziki?
Anazungumziaje suala la Teknolojia kwenye muziki? Ushauri wake kwa wasanii wachanga na MENGINE MENGI..
Ungana nasi hapa chini

Kwa mahojiano zaidi, tembelea HAPA

No comments: