Tuesday, April 30, 2013

Ana kwa Ana na msanii Bi Salma MoshiKaribu katika mahojiano haya na mmoja wa wasanii wakongwe nchini Tanzania, ambaye pia ndiye msanii wa kwanza wa kike kucheza na nyoka Bi Salma Moshi.
Katika mahojiano haya, Bi Salma anaeleza mambo mbalimbali yakiwemo..
1: Historia yake katika sanaa?
2: Uhusiano na ushindani uliokuwepo kati ya kundi lake na makundi mengine?
3: Alijiingiza vipi kwenye kucheza na nyoka?
4: Ni nini unachotakiwa kufahamu kabla hujaanza kucheza na nyoka?
5: Ni kweli kuwa sanaa ya kucheza na nyoka huushisha ushirikina?
6: Ni kweli kuwa alikuwa akiishi na wale chatu nyumbani kwake?
7: Ni kwanini sanaa za jukwaani hvutia zaidi watu toka nje ya nchi?
8: Kama ni kweli kuwa soko kubwa la muziki wa asili liko nje ya nchi, kwanini wasanii wake hawapato shows nje ya nchi?
9: Ni kipi kinasababisha maisha duni kwa wasanii mambali nchini?
Na mengine mengi
KARIBU UUNGANE NASI

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Nimefurahi kumfahamu Bi Salma nimejua mengi leo..HONGERA KWA YOTE ULIYOFANYA NA UNAYOFANYA..