Jumatano
wiki hii, nchi ya Marekani na dunia kwa ujumla iliadhimisha miaka 12 tangu
kutokea kwa shambulio kubwa la kigaidi nchini humo lililosababisha vifo vya
zaidi ya watu 3000 na kufungua ukurasa mpya wa vita dhidi ya ugaidi.
Bahati Alex wa Capital Radio Dar (L) na Mubelwa Bandio wa Jamii Production Washington DC (R)
Hii ni sehemu ya ripoti ya Jamii Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90
ZA DUNIA kinachorushwa kila Jumamosi na kituo cha Radio cha Capital FM
cha Dar Es Salaam Tanzania.Ripoti hii ni ya Septemba 14, 2013
KARIBU UUNGANE NAO
No comments:
Post a Comment