Wednesday, October 23, 2013

VIDEO: Karibu Jamii Production

Jamii Production ni wazalishaji na wasambazaji wa vipindi vya Radio na Video kutoka hapa Washington DC.
Mpaka sasa, tunaandaa na kuongoza vipindi kadhaa ambavyo nimejikita katika uelimishaji zaidi
Kama tunavyosema, "Kazi yetu ni kutunza kumbukumbu za wale ambao wanathamini mawazo, fikra, na mbinu zao kwa manufaa ya wengine au vizazi vipya."

No comments: