Wednesday, October 16, 2013

WaTanzania DMV walivyoadhimisha Eid Al-Adh-haa


 
Waumini wa jumaiya ya Kiislamu, Jumuiya ya Kiislamu Tanzania (Tanzanian Muslim Community) Washington DC wakipata picha ya pamoja baada ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 15, 2013 msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US.( Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
 
Waumini wa Tanzanian Muslim Community Washington DC  wakipata picha baada ya sala   ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 15, 2013 msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US.

 Cheif wa swahilivilla Abou Shatry  (wakwanza kushoto) akipata picha ya pamoja na  Abuu Qullatein (wakwanza kuli)  baada ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 15, 2013 msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland. Ofisa wa ubalizo wa Tanzania Nchini Marekani Bwna Suleiman Saleh alisalimiana na Deddy Rouba pamoja na Rais wa Jumuiya ya waTanzania washington DC Iddi Sandaly  baada ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 15, 2013 msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US. Ofisa wa ubalizo wa Tanzania nchini Marekani Bwna Suleiman Saleh (watatu kushoto) pamoja na Rais waJumuiya ya waTanzania Washington DC Iddi Sandaly, Deddy Rouba (wakwanza kushoto) Sheikh Moddy (wapili kulia) pamoja na Abuu Qullatein (wakwanza kuli) wakipata picha ya pamoja baada ya sala ya  Eid Al-Adhw-haa
Ofisa wa ubalizo wa Tanzania nchini Marekani Bwna Suleiman Saleh, wapili kushoto, Cheif wa swahilivilla Abou Shatry  (wakwanza kushoto) akiwa na  Shamis Alkhatry (wapili kulia) , pamoja na  Abuu Qullatein (wakwanza kuli)
 
Auntiee Asha Akida akiwa na mdhamini wa pindo lake pamoja na Rais waJumuiya ya waTanzania Washington DC Iddi Sandaly.
 

No comments: