Monday, March 10, 2014

[AUDIO]: Kipindi cha FAMILIA. Siku ya wanawake duniani

Photo Credits: happyholidays2014.com
Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production.
Kipindi hiki kilirushwa moja kwa moja (live) Jumamosi Machi 8, 2014
Katika kipindi cha wiki hii, mjadala ulijikita zaidi katika SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ambapo wageni Mary Ndaro akiwa Wichita Kansas na Mch. Tumaini Mwanyonga  walijadili kwa mapana suala hili.
Wamegusa mengi mema ambayo ni muhimu kuyasikiliza.

No comments: