Sunday, March 23, 2014

Mdau Boniface Makulilo akijadili suala la Scholarship katika kipindi cha NJE-NDANI


Mdau Ernest Makulilo ambaye huandika kuhusu masuala ya Scolarship HAPA na pia kutoa video za suala hili HAPA
UNATAKA SCOLARSHIP?
Unajua pa kuzipata?
Unajua namna ya kuzipata?
Masharti yake je?
Makosa yanayofanywa na wengi?
Tofauti ya Scholarships za Undergraduate na Graduates wazijua?
Yapi ya kuchunga wakati wa kutafuta scholarships?
Boniface Makulilo ambaye amenufaika na scholarship hizi na kuandika kuzihusu kwa miaka ipatayo sita anaungana na Mubelwa Bandio wa Jamii Production kujadili hili.
Kuna mengi mema ya kujifunza.
KARIBU NJE-NDANI ni kipindi kutoka Jamii Production Washington DC kinachokujia moja kwa moja (LIVE) kila Jumamosi kuanzia saa 6 mpaka 8 mchana (saa za Marekani mashariki) ambacho kinaleta Habari na Taarifa kuhusu yale yanayotokea na kuwagusa waAfrika walio NJE na NDANI ya Afrika.

No comments: