Sunday, May 25, 2014

Mahojiano ya Idd Ligongo (Bicco) na Kwanza Production


Idd
Photo Credits: Idd's Facebook Page 
Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Idd Ligongo Msanii na mwanahabari makini ambaye amezungumza mengi mema kuhusu Sanaa na Habari ya Tanzania. Amezungumzia historia yake katika fani hizi, ilipo na anapoiona ikielekea Ni kati ya mazungumzo ninayoamini utapata mengi ya kujifunza. KARIBU UNGANE NASI

No comments: