Friday, May 9, 2014

Usikose Reggae Time ya Kwanza Production (9:00pm EST)

Mubelwa Bandio ndani ya Studio namba 2 ya Kwanza Production
Usikose kusikiliza Reggae Time kutoka Kwanza Production kila Ijumaa kuanzia saa tatu usiku kwa saa za Marekani Mashariki (9:00pm EST)
Katika kipindi cha leo, Mubelwa Bandio atakusikilizisha nyimbo za wasanii zilizozungumzia AFRIKA, waAFRIKA na uAFRIKA.
Usikose kusikiliza kuanzia saa tatu kamili kupitia www.kwanzaproduction.com kisha bofya "LISTEN LIVE" ama kwa mlio MAREKANI na CANADA mnaweza kusikiliza kwa njia ya simu kwa namba 875 216 6565 na kwa walio UK 161 353 0853.

No comments: