Saturday, March 7, 2015

Video za maswali na majibu za mkutano wa Mhe. Jussa Washington DC

Kwa hisani ya SwahiliVilla Blog
Muwakilishi wa Jimbo la Stone, Town, Zanzibar Mhe. Ismail Jussa kupitia chama cha wanainchi CUF ambae pia mjumbe wa UKAWA aliweza kuongea na waTanzania waishio. (DMV) na kumuuliza maswali mbali mbali kuhusu mustakabali wa nchi yetu, Siku ya Jumamosi Feb 28, 2015.

No comments: