Saturday, April 11, 2015

Leo katika Reggae Time ya Pride Fm [April 11 2015]

Rais Obama akipata maelezo toka kwa mwelekezi wa makumbusho hayo Natasha Clark.
Photo Credits: TheHill.com
Wiki hii, Rais Barack Obama alifanya ziara nchini Jamaica. Na usiku aliotua nchini humo, alielekea kwenye makumbusho ya Bob Marley.
Haya ni kati ya yaliyojumuishwa leo kwenye kipindi cha Reggae Time ya Pride FM, Mtwara Tanzania
KARIBU

Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

No comments: