Padre Honest Munishi akiongoza ibada takatifu ya misa ya Kiswahili ambayo hufanyika mara moja kwa mwezi katika kanisa katoliki la St.Edwards huko Baltimore Md Jumapili Agosti 30,2015.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wakatoliki DMV Bw.Pius Mutalemwa na mama Mutalemwa wakifuatilia ibada hiyo.
Mrs.Kessi na mwanae wakifuatilia ibada.
Bernadeta Kaiza akiongoza kwaya kwaya ya watoto.
Bw.Stanley akifuatilia ibada hiyo.
Bi.Aireen na wanawe katika ibada.
Katibu Dan Stephen akitoa matangazo.
Bw.Patrick Kajale akitoa mwaliko wa Tamasha la Kiswahili "Swahili Fest".
Empress Elinita Mhando na mwanae Ernest Simba Shomari wakiwa kwenye ibada.
Bw. na Bi. Shomari wakiwakilisha.
Brian akitwanga kinanda.
Mdogo wa Brian akiwa kwenye ngoma.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com
No comments:
Post a Comment