Sunday, December 21, 2008

Give Thanks and Praises..Come Down Father by Beres Hammond.

"In my heart I know that you wont let ur chosen people suffer, (too long) I know u would never let us down.

Many times I coulda pick up a gun, I coulda go out a street and play big john, that's no fun no, sure ain't no fun, oooh no, cause I think

What would happen if the other man, thinks the same, then bullets fall like rain, It's no fun no, no it's no fun.

Oh I see greed and I see selfishness, everyman is for themself. Only u can talk to them father, cause they listen to no one else.

Come Down Father"

Ndivyo asikikavyo kuimba Beres Hammond katika wimbo huo ambao ni kama maombi kwa yale yaendeleayo duniani. Beres anaendelea kumuomba Mungu juu ya wenye mamlaka ambao sasa wanajigeuza miungu-watu akisema "To the hearts of those responsible, let them know their actions are despicable. Remind them that is u who wears the crown" Na pia anawakanya wale wenye kudhani wataweza kuikimbia hukumu ya mabaya wanaoendelea kuyatenda kuwa "Oh, unto the ones who think you can do these wrongs and get away, Woe unto u, and watch out for ur day"

Msikilize mwenyewe Beres Hammond akimuomba Mungu arejee kusawazisha hali


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

J´pil njema na wewe pia mzee wa changamoto na asante kwa wimbo!!

Mzee wa Changamoto said...

Asante sana Da Yasinta kwa kunitakia J'pili njema. Natumai na kwako itakuwa nzuri na panapo majaaliwa na kwa sala nilosoma hapo "jamvini" kwako, tutaiona hiyo kesho.
Blessings