Wednesday, December 24, 2008

Tahadhari toka kwa Da Subi.

Watu kadhaa wamepokea ujumbe kwenye inbox zao unaoashiria kuwa umetoka kwangu.Tafadhali usifungue ujumbe wowote wenye maneno ya picha za ngono kama vile sex, nude, porn nk. unaoashiria kutoka kwenye anwani yangu, UJUMBE kama huo hautakuwa umetoka kwangu ASILANI! Kwa bahati mbaya anwani yangu imepokwa na kutumika vibaya bila mimi kufahamu.
Katika juhudi za kusaka chanzo cha wizi na utumiaji wa anwani yangu kutuma ujumbe wenye maneno yasiyoeleweka kama vile FW, Funny, eBook.pdf,.mpg, Re nk na attachment ambazo huenda ni virusi, nimegundua imefanyika Tanzania.Mimi sipo nchini Tanzania kwa sasa hivyo sijaweza ku-access kompyuta yoyote yenye IP address iliyotumika kwenye ujumbe huo mchafu.Kwa umbali wa mahali nilipo kutoka Tanzania, haiwezekani nikawa natumia TTCL kama ISP. Kwa bahati mbaya, ifahamu kati ya maeneo yanayohudumiwa na TTCL kama ISP mwenye anwani hiyo, ni nani atakuwa amechafua habari.Unaweza kujionea nilichokuwa natafuta na matokeo niliyoyapata.Subi
1: Received: by 10.90.67.10 with SMTP id p10mr77463aga.14.1230072401215; Tue, 23 Dec 2008 14:46:41 -0800 (PST) Return-Path: <subi.nukt...@gmail.com> Received: from acct3 ([196.43.83.236]) by mx.google.com with SMTP id 39si5110672yxd.15.2008.12.23.14.46.16; Tue, 23 Dec 2008 14:46:41 -0800 (PST) Received-SPF: neutral (google.com: 196.43.83.236 is neither permitted nor denied by domain of subi.nukt...@gmail.com) client-ip=196.43.83.236; Authentication-Results: mx.google.com; spf=neutral (google.com: 196.43.83.236 is neither permitted nor denied by domain of subi.nukt...@gmail.com) smtp.mail=subi.nukt...@gmail.com Date: Tue, 23 Dec 2008 14:46:41 -0800 (PST) Message-Id: <49516a51.e701be0a.1b83.ffffe703SMTPIN_ADDED@mx.google.com> From: "subi.nukta77" <subi.nukt...@gmail.com> To: <muXalumni@googlegroups.com> Subject: Fw: Real show MIME-Version: 1.0 Content-Type: multipart/mixed; boundary="----=_NextPart_8.29104721546173E-02" This is a multi-part message in MIME format.
2: Your IP Address: 196.43.83.236
IP Address Hostname: 236.83-43-196.Admin.morogoro.ttcldata.net
IP Country: Tanzania, United Republic of IP Country Code: TZA
IP Continent: Africa
IP Region: Dar es Salaam
Guessed City: Dar Es Salaam
IP Latitude: -6.8
IP Longitude: 39.2833
ISP Provider: TANZANIA TELECOMMUNICATIONS CO. LTD
3: IP Address Tracking Program This program performs an IP address lookup and finds the ISP and country of origin
Enter IP Address to Trace Results of IP Tracking for 196.43.83.236
IP address196.43.83.236
Hostname236.83-43-196.Admin.morogoro.ttcldata.net
ISPTTCL1-20051207, TANZANIA TELECOMMUNICATIONS CO. LTD
CountryTanzania

POLE SANA DA SUBI KWA YALIYOKUKUTA.

4 comments:

Simon Kitururu said...

Na mimi natatizo hili!Inasemekana nauza VIAGRA 70% bei nafuu!

Nimejaribu kuongea na jamaa wa google kupata kitatulio lakini bado naona kitatulio hakijatatua.

Mwanzo nilizani kuna mtu ana password yangu , lakini nasikia kuna jinsi ya kuruka passwoed kwa kutumia spyware au vichina vingine na kufanya e-maili iendelee kufanya.:-(

Anonymous said...

Mimi pia mwanafunzi wangu mmoja aliwahi kuona e-mail yangu ikiwa imetumiwa na jamaa na ilikuwa inadai kwamba eti ninauza dawa nzuri sana za kunenepesha ***. Nilipofuatilia nikagundua kwamba e-mail hiyo ilikuwa imetumwa kutoka Pakistani - nchi ambayo sijawahi kufika. Hawa spammers wanazo software za kiwango cha juu ambazo zinaweza ku-crawl popote na kuruka viunzi vya password n.k. Hawa jamaa wanachofanya ni kutumia anonymous proxies ambazo zinatumia servers na IP addresses mbalimbali ambazo sio za kwao ili wasigunduliwe. Pole Mzee wa Changamoto na hili lisikuumize kichwa kabisa!!!

Subi Nukta said...

Poleni nyote mliokumbwa na mkasa huu, hii ndiyo mojawapo ya changamoto za utandawazi.
Asante Mzee kwa pole yako.
Natumai mwenye kujifunza atakuwa amejifunza kutoka na haya.

Anonymous said...

Howdy,

When ever I surf on web I come to this website[url=http://www.weightrapidloss.com/lose-10-pounds-in-2-weeks-quick-weight-loss-tips].[/url]You have really contiributed very good info here changamotoyetu.blogspot.com. Let me tell you one thing guys, some time we really forget to pay attention towards our health. Are you really serious about your weight?. Recent Research points that nearly 80% of all United States adults are either chubby or overweight[url=http://www.weightrapidloss.com/lose-10-pounds-in-2-weeks-quick-weight-loss-tips].[/url] Therefore if you're one of these people, you're not alone. In fact, most of us need to lose a few pounds once in a while to get sexy and perfect six pack abs. Now the question is how you are planning to have quick weight loss? Quick weight loss can be achived with little effort. Some improvement in of daily activity can help us in losing weight quickly.

About me: I am author of [url=http://www.weightrapidloss.com/lose-10-pounds-in-2-weeks-quick-weight-loss-tips]Quick weight loss tips[/url]. I am also health trainer who can help you lose weight quickly. If you do not want to go under difficult training program than you may also try [url=http://www.weightrapidloss.com/acai-berry-for-quick-weight-loss]Acai Berry[/url] or [url=http://www.weightrapidloss.com/colon-cleanse-for-weight-loss]Colon Cleansing[/url] for effective weight loss.