Thursday, January 29, 2009

Mkaribishe tena Prof Matondo

Changamoto yetu iliwahi kumkaribisha Prof Matondo alipoanzisha blog yake anayendeleza vema ya Nyimbo za Dini, na sasa karejea kiutambuzi zaidi. Anapatikana katika www.matondo.blogspot.com
KARIBU TENA Prof

1 comment:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Mzee wa Changamoto. Asante sana kwa makaribisho haya ya heshima. Asante sana tena mno. Kwa vile nimeshakaribia, tutakuwa tunawasiliana mara kwa mara - ama kupitia utoaji wa maoni au mawasiliano ya moja kwa moja. Kazi njema.