Friday, January 9, 2009

POMBE, POMBE POMBE. Hakika si maji

Hili darasa na hii Video nimevipata toka kwa Da Subi nami naona niiweke hapa ili wenye kuweza kuangalia wajifunze kitu. Dada Subi (ambaye ni mtabibu kitaaluma) amaeeleza mengi saana kuhusu hii Chang'aa na athari za pombe kwa ujumla pale zinywewapo kupita kiasi fulani (ambacho amekitaja huko). Hebu angalia na kusoma habari hiyo iliyoainisha mengi ya kitaaluma kwa kubofya hapa ama mtembelee kwenye blog yake ambako ana mengi mema kwa kubofya hapa.
Video yenyewe ni ........

2 comments:

Subi Nukta said...

Mzee,
Thank you very for mentioning and featuring my post on your wonderful and educative blog. I am humbled.

Unknown said...

Bandio, thanks for sharing this.. Hii Changaa imeuwa watu. Last year there were cases of 'Changaa' causing blindness and even death due to some people adding ethanol to it..More needs to be done to stop its production because people will continue to die from consuming uncontrolled substances such as this.