Thursday, February 12, 2009

Mafundisho ya Mch Mwakasege


Da Subi ameweka baadhi ya mafundisho ya Mwl. C&D Mwakasege kwenye tovuti ya nukta77.com kwa ajili ya kusikiliza tu, hivyo karibu umsikilize kupitia http://nukta77.com/Injili.aspx
Karibu ujumuike naye

1 comment:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

huyu jamaa anhubiri vizuri kwa kiasi chake, japo alisomaga elimu ya utambuzi na kuamua kuiigiza katika biblia na hivyo kuwa juu ya wahubiri wengine uchwara wajifanyao kumujua mungu, utambuzi uko juuuuuuuu