Sunday, March 22, 2009

Give Thanks and Praises. Amen by Luciano

Hakuna anayeweza kupinga juu ya nguvu ya watenda maovu inavyojitahidi kutishia mema mengi yafanywayo na watu kiasi cha kutaka kuwabadili wenye kutenda mema lakini wakiwa na mioyo myepesi kuacha mema yao kwa kuwa hayaonekani kuwa na manufaa ya haraka kama kwa watenda mabaya. Lakini twaambiwa kuwa ukombozi halisi uko kwa yule mtakatifu wetu na huyo ndiye tunayetakiwa kumfuata.

Msome na kumsikiliza Luciano hapa anavyoimba katika wimbo huu AMEN.
Amen (let me hear you say)
Amen (let me hear you now)
Amen, Amen, Amen! (let me hear you now)
Selah (let me hear you say)
Selah (let me hear u say)
Selah, Selah, Selah!

You who has eyes then let him see
in this time of prophecy
the hearts of the bad poise a threat to the victory
and i know it's not to be
You who has ears then let you hear
comin' of Jah kingdom is very near
what a man sow when he sow shall he reap
so i'll give Jah my soul to keep

let me sing again ...
Amen (everybody sing)
Amen (let me hear u say)
Amen, Amen, Amen! (let me hear you now)
Selah (everybody sing)
Selah (let me hear u say)
Selah, Selah, Selah!

Woe be onto mankind
who deny the mastermind
peace on earth only few men find
in this revelation time
people you've been living wrong
far from the foundation
seek ye now the only one
and you'll find true salvation ... yea


Amen (let me hear u say)
Amen (let me hear u say)
Amen, Amen, Amen! (let me hear you now)
Selah (let me hear u sing)
Selah (let me hear u say)
Selah, Selah, Selah!

You who has eyes then let them see
fullfilment of prophecy
hearts of the bad threaten sweep of the victory
and i know it's not to be
You who has ears then let him hear
risin' up the kingdom is very near
what a man sow when he sow shall he reap
that's why i give jah my soul to keep it ... yea

[chorus x2 + fade]
Jumapili Njema

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

jumapili njema nawe pia.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Daima huwa nawaza: ni kwa nini "wacheza rafu" ndiyo hufanikiwa zaidi katika maisha kuliko wafuatao kanuni za mchezo?

Ivo Serenthà said...

I am not religious, compliments for your music, it's kind of reggae, I like very much.


Good start of the week, Marlow

Subi Nukta said...

Alleluia!

Mzee wa Changamoto said...

Da Yasinta. Amani na Upendo kwako dadangu. Asante kwa upambanuzi wa maoni kwangu na nakuthamini na kukuheshimu saaana. Kaka Masangu, unajua kuna maswali ambayo hatuwezi kuyajibu mpaka tushuhudie na wakati mwingine majibu hayapatikani katika kipindi cha uhai wetu. Ninalomaanisha ni kuwa kila mtenda maovu atalipa lakini kwa kuwa ama hatujui hatma yao ama tunapotea ama wao kupotea kabla ya hatma, tunadhani wanafanikiwa. Lakini jiulize aliyedhulumiwa na Madoff na akafa mwezi mmoja kabla ya kukamatwa kwake si atadhani jamaa amefanikiwa? Lakini si kweli. Anaishi kwenye chumba kidogo kuliko iliyokuwa closet yake ya nguo.
Kwa hiyo time will tell. Kwao na kwetu. Nitaiandikia hii kwenye post ya Jumatano. Asante kwa mada. My friend Marlow. It's always great to see you. Thanx for the compliment and i hope you'll enjoy more and more reggae in the days to come. Dada Subi, WOW!!! Ameeeeen.