Friday, March 20, 2009

Hasheem Thabeet. GREAAATTTTTTT!!!!

Picha zote mali ya Michael Pere & Carolyn Kaster wa AP kupitia ESPN.COM

Kama kuna nyota tunaopaswa kujivunia sasa ni Hasheem. Na ni nyota njema kwa nchi (na hapa najua kuna wanaopinga) lakini kulingana na historia yetu kimchezo sasa yapaswa kumpa heshima anayostahili.
Kwa sasa Hasheem anaonekana kama mchezaji nyota pengine) kuliko wote katika timu yake ya chuo cha Connecticut. Ni mchezaji bora katika kanda yake na ni nyota njema ionekanayo kung'aa katika maidha ya mpira wa kikapu hapa nchini.
Jana katika kuelekea tamati ya michuano hiyo ambayo wiki hii inachukua nafasi kubwa kabisa, tumeshuhudia kazi aliyoifanya na kwa kushirikiana na wenzake wameweza kuinyuka timu na Chatanooga kwa tofauti ya pointi 56.

Kwa picha zaidi bofya hapa

No comments: