Monday, June 15, 2009

Ukatili gani huu kwa binadamu wenzetu?

Kuna vitu unaweza kusema, kuna vitu unaweza kuonesha tuu. Sina hakika ni lipi lengo la KUKOMOANA KIKATILI NAMNA HII?
ANGALIZO. VIDEO HIZI ZINASIKITISHA SANA NA ZAONESHA MAJERAHA MAKUBWA YA MOTO NA ZAWEZA KUATHIRI WALE WASIO NA UWEZO WA KUHIMILI PICHA ZA MAUNGUZO. Lakini ni vema kuziona kujua ukatili tuliofikia na sababu zake.
Video zote toka kwa Da Subi

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Jamani inasikitisha sana samahani nimedhindwa kuangalia mpaka mwisho kwani inasikitisha sana watu kuchomana moto na visu kwa ajili ya CAHAKULA ambacho ukisha kula unaenda chooni na kutoa yaani MAVI. Kweli dunia imeharibika.