Sunday, August 16, 2009

Give Thanks and Praises......SINS OF THE FLESH by Lucky Dube

Ni mara ngapi umemuomba MUNGU kukuepusha na "dhambi za uanadamu"? Kama unaweza kufikiria kwa makini, kuna mengi ambayo yanaathiri maisha yetu kwa kuwa wengi wetu wanaongozwa na mahitaji ya "nyama" zao na kusahau mahitaji halisi ya wao. Namaanisha kuwa wapo wengi ambao huishi kwa kutaka kuridhisha muonekano na tamaa za miili yao na kuwekeza katika mwili kuliko roho.
Lucky Dube anasikika akikumbuka sala iliyoombwa na Mtumishi wa Mungu KUTUOKOA KWENYE DHAMBI ZA AINA HII.
Nawe uombe kwani Tamaa ya pesa na kujilimbikizia mali vyatawala, watu wanakula rushwa kupata kisicho chao ama wasichostahili. Wakiua wasio na hatia kupata utawala, wakisaini mikataba wasiyostahili na yenye kuwaathiri wenzao kwa ajili ya pesa zao. Wakikatisha huduma kwa wahitaji ili wajilimbikizie mali. Zote hizi ni dhambi za kuongozwa na u-nje badala ya undani wa mtu. Maisha yao ni "outside-in badala ya inside out. Wanatumia ulimwengu kupanga maisha yao na si maisha yao kupanga ulimwengu.
MAISHA HAYA NDIYO YAZUNGUMZIWAYO KATIKA PARADOX OF OUR TIME HAPO KULIA.

I lie awake at night
And I think about it
Where I have been
And who I' ve been with
'Cause all around me
I see them dropping like flies
Everytime they tell us
We say it doesn' t exist
And all we wanna do
Just to have some fun
Reverand Jackson says
The time has come
That the HOLY BOOK
Has been talking about
The Reverand also said
Where there' s pleasure
There will always be danger
On his knees I heard him pray so hard
He said
God save your children

Chorus:
Save us from the sins of the flesh x4

Things we have learned
From our good & loving parents
When temptation comes
It all becomes useless
Like an ashtray on a motorbike
Everything you do remember
The body bag hangs
Next to the first aid kit
It' s your life
It' s your world
I' m just passing through
Reverand Jackson said
The time has come
That the HOLY BOOK
Has been talking about

Chorus till fade


Give thank and Praises ni kipengele kikujiacho kila Jumapili kukupa nyimbo zenye kumpa SIFA NA UTUKUFU na KUKUMBUSHANA JUU YA UKUU WA MUNGU. Waweza kusikiliza nyingine zilizotangulia kwa kuBOFYA HAPA
JUMAPILI NJEMA

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Jumapili njema nawe pia na uwe na wakati mzuri.

Nicky Mwangoka said...

Asante na kwako pia.Ila kumbuka kupumzika kidogo weekend maana Kesho ni mchakachaka tena kaka.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

interesting. wanaongozwa na Nyama zao. kwa maneno mengine tumo kwenye lindi la ujinga wa ajabu na usioelezeka.

thaks for this.

keep meditative on possitivity