"Better to write for yourself and have no public, than to write for the public and have no self."
Cyril Connolly (1903 - 1974)
Saturday, November 21, 2009
SAVE ALBINO BENEFIT CONCERT
Blogu hii inapenda kuungana na ALBINO FULANI na washiriki wote katika onesho hili maalum la kuwachangia ndugu zetu wenye matatizo ya ngozi (ALBINO). Licha ya uhitaji wa kuzaliwa nao walionao ndugu zetu hawa, lakini wenye uchu wa mali na utajiri wamekuwa wakiwawinda ili kupata viungo vyao kujitajirisha. Hili limewafanya ndugu zetu hawa kuishi maisha ya kujificha ndani ya nchi yao kuwakwepa watu hawa wenye imani POTOFU za kishirikina. ASANTE ALBINO FULANI NA WASHIRIKI WOTE KWA ONESHO HILI LA MANUFAA.
Hakuna fikra mbaya kama hizi. Kumua mtu kwa kutaka kuwa tajiri. Kuna usemi usemao binadamu wote ni sawa. Kwa hiyo usiona mtu mmoja ni mzungu, mweusi au albino na ukafikiri ni bora zaidi HAPANA hizi ni rangi tu. Angalia unapojikata au jiumiza nini kinatoaka maji au damu? Kwa kweli inasikitisha sana. Nawatakia kila la heri katika onyesho hili.
.Today we have bigger houses and smaller families; more convenience but less time. .We have more Degrees but less common sense; more knowledge but less judgment. .We have more experts but more problems; more medicine but less wellness. .We spend too recklessly, laugh too little, drive too fast, get too angry too quickly, stay up too late, read too little, watch Tv too much and Pray too seldom. .We multiply our Possessions but reduce our values; we talk too much, love too little and lie too often. .We’ve learned how to make living, but not a life; we’ve added years to life not life to years. .We have taller buildings, but shorter tempers; wider freeways but narrower viewpoint. .We spend more, but have less; we buy more, enjoy less. .We’ve been all the way to the moon and back, but have trouble crossing the street to meet our neighbor. .We’ve conquer outer space, but not inner space. .We split the atoms, but not our prejudice .We write more, learn less; plan more but accomplish less; we’ve learned to rush but not to wait; we have higher income but lower morals. .We build more computers to hold more info, to produce more copies but have less communications. .We’re long on quantity but short on Quality. .These are the time for Fast food and slow digestion; tall men and short characters. .More leisure but less fun; more kinds of food but less nutrition; two income but many divorces, fancier houses but broken homes.
1 comment:
Hakuna fikra mbaya kama hizi. Kumua mtu kwa kutaka kuwa tajiri. Kuna usemi usemao binadamu wote ni sawa. Kwa hiyo usiona mtu mmoja ni mzungu, mweusi au albino na ukafikiri ni bora zaidi HAPANA hizi ni rangi tu. Angalia unapojikata au jiumiza nini kinatoaka maji au damu? Kwa kweli inasikitisha sana. Nawatakia kila la heri katika onyesho hili.
Post a Comment