Monday, November 2, 2009

Tied Up

Image from www.redbubble.com
Ni kweli nimefungwa

Ni kweli nimetingwa

Ni kweli nina muda mchache wa kuwa nanyi

Lakini nawawaza na naamini muda si mrefu ntapata nafasi ya kujumuika nanyi kuleta CHANGAMOTO mbalimbali kwetu sote.
Kwa yale yaliyo katika mstari yataendelea kuonekana hapa na nitakapopata nafasi ntawapitia na kuwajuvya maendeleo na mtambue kuwa tuko PamoJAH

NAWAPENDA

6 comments:

nyahbingi worrior. said...

amani kaka.

nikutakie kila la heri kaka.

nuff nuff respect man.

Yasinta Ngonyani said...

Ndio maisha na naamini kabsa kuwa tupo pamoja. Kila la kheri na kila ufanyalo karibuni utafunguliwa.

Sisulu said...

MUNGU akutangamanishe na mema na akuepushie shari ONE LOVE

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

rudi haraka wewe acha visingizio kwani nani hayuko bize. rudi fasta kabala sijakufuata huko mimi. shindwa

Albert Kissima said...

Kaka, pamoja sana, kila la heri, Mungu akutangulie,akupe nguvu amani na upendo tele.

Faith S Hilary said...

mmh...hiyo kamba is very thick , nilikuwa nafikiria nizifungue ila i m not strong enough...but you are :-)