Friday, December 11, 2009

Wanafunzi Bora Chuo cha Tiba Muhimbili

Wahitimu wa shahada ya Uzamili baada ya kupokea zawadi zao za Uanafunzi Bora kwa kufanya vyema na kuhitimu kozi zao katika chuo cha Tiba cha Muhimbili. Kutoka kulia mwa skrini, wa tano ni Mkuu wa Chuo hicho Prof. Kisali Pallangyo na wa nane ni Prof. David Ngassapa.
HONGERA ZENU. Sasa mwakabiliwa na changamoto kuuubwa mtaani
Twawasubiri

No comments: