Monday, February 8, 2010

Nawaza kwa sauti..... Nisaidie kuwazua

Iwapo kutafanyika AUDITING kwenye Bunge letu "tukufu" kutuwezesha kujua ni wabunge wangapi wanaofanya kazi sawa na malipo yao, unadhani ni wangapi watakaonekana kulipwa sawa na "huduma" yao kwa taifa?
Nawaza kwa sauti tuuu, nisaidie kuwazua

4 comments:

Fadhy Mtanga said...

Kaka Mube, ukiwaza (hata kidogo sana) unagundua wengi sana hawalipwi kuendana na kazi yao. Wapo ambao hata majimboni mwao wameonekana mwaka jana wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kile wakiitacho 'kusafisha njia'

Yasinta Ngonyani said...

"The Way You See The Problem Is The Problem"

Bennet said...

wapo wengine wanafanya kazi zaidi ya mishahara yao pia

Faith S Hilary said...

NONE! NONE OF THEM I TELL YOU! oops nina caps...anyway ndio yale kina sisi sio wapenzi wa siasa BUT!!!!!! nilipokuwa naangalia bungeni (kwenye TV) nikajisemea mwenyewe "what the heck are these people doing in here?"...nikaona bora niangalie POWERPUFF GIRLS mara mia kuliko bungeni...no offence to the country. Labda wapo lakini mie sijawaona and I obviously siwezi kumjua kila mmoja wao. Ni hayo tu...nikiwa na mengine nitarudi...brb