Sunday, April 4, 2010

Pasaka njema

Kwa ndugu, jamaa na marafiki wote msherehekeao siku hii, twawatakia sikukuu njema ya Pasaka

PASAKA NJEMA toka CHANGAMOTO YETU

5 comments:

Faith S Hilary said...

Na wewe pia kaka pamoja na familia. Much love! xx

Simon Kitururu said...

Hata kama ni tusi WEWE pia MKUU!

Na asante tena kwa hii blogu yako MKUU kwa kuwa inanitekenya kweli maswala mpaka najitahidi kuwa mtu mzuri!:-(

EDNA said...

Wewe pia Kaka Pasaka njema.

Yasinta Ngonyani said...

Pasaka njema nawe pia pamoja na familia yako pia watu wote.

mumyhery said...

shukran na kwako pia na familia kwa ujumla