Tuesday, August 24, 2010

ANGALIA BONGO na anwani mpya

Habari nilizopata toka kwa mmliki na muendeshaji wa mtandao wa ANGALIA BONGO ni kuwa blogu hiyo imehama anwani kidogo. Kwa sasa inapatikana kwa anwani ya http://angalia-bongo.com/
Binafsi nimefurahishwa na muonekano wake mpya.
Inapendeza na kuvutia.
Bofya HAPA kumtembelea katika baraza lake jipya. Kama asemavyo yeye mwenyewe, ANGALIA BONGO, NI MAHALI PA KUWEPO
HONGERA SAANA DADA

No comments: