Saturday, October 30, 2010

UCHAGUZI MWEMA


Miaka mitano ijayo inahusisha mengi. Miaka ya mipango, miaka ya utekelezaji, miaka ya ukombozi, miaka ya kuiendeleza Tanzania yetu iliyo njema.
Ni miaka ambayo itakuwa na manufaa kwetu na kwa vizazi vyetu.
Ni miaka itakayotambulisha amani ama ghasia.
Ni miaka ambayo mengi yatapangwa kwa kuijenga ama kuibomoa nchi.
Ni miaka ambayo inaanza harakati zake LEO.
TUMEBARIKIWA KUWA NA KAMPENI ZA AMANI NA USALAMA (kwa kiasi kikubwa)
Na sasa tukapige kura kutambulisha MUSTAKABALI WETU.
Ni muhimu, ni haki na ni wajibu wako kuchagua uaminiye anakufaa ili kwa kufanya hivyo ushiriki mchakato mzima wa maendeleo na lawama.
NENDA KAPIGE KURA. NI HAKI NA WAJIBU WAKO

NAWATAKIA UCHAGUZI MWEMA

Uchaguzi Tanzania ni "label" inayozungumzia namna niionavyo nchi yangu ya Tanzania ijiandaavyo na uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2010. Kwa maandishi mengine juu ya mada hii katika "label" hii BOFYA HAPA

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nami nawatakieni uchaguzi mwema. wenye amani na utulivu.

Philwebservices said...

keep on posting...