Wednesday, February 8, 2012

Msiba Washington DC

Familia ya Kusaga na Lavorn Cryor wanasikitika kutanga kifo cha mpendwa wao Christavina Cryor kilichotokea Feb, 7 nyumbani kwake kwa Saratani ya Utumbo (Colon Cancer).

Christavina alianza kuugua August 2011 na kulazwa Holy Cross Hospital na baadae kuhamishiwa Georgetown University Hospital.


Februari 6, 2012 aliruhusiwa kurudi nyumbani majira ya saa 3 usiku lakini alifariki masaa matano baadae

Marehemu Christavina alizaliwa October 12, 1983. Ameacha Mume na watoto wawili, (wa kiume miaka 4 na wa kike miaka 2.)

Katika usia wake, marehemu aliomba azikwe hapa.

Kwa wale ambao hawataweza kufika msibani lakini watapenda kutoa rambirambi kwa mchango wa fedha, tafadhali tumia huduma ya benki kama ifuatavyo.

Capital One Bank, NA
Routing Number: 255071981
Account Number: 1351500235

Tunatanguliza shukrani zetu kwa msaada katika kufanikisha shughuli za msiba huu

Msiba upo:
3237 75th Avenue Apt 201,
Landover, MD 20785.

Taarifa zaidi tutawaletea kadri tupatavyo. Tunaomba tujumuike pamoja tuweze kuwafariji wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwao.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

6 comments:

Unknown said...

Bwana alitoa na bwana ametwaa

Yasinta Ngonyani said...

Marehemu astarehe kwa amani. Poleni sana wafiwa.

Unknown said...

Poleni sana

Chambi Chachage said...

Christavina mdogo wa Adela? Poleni sana!

emuthree said...

Poleni sana , NA MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEPONI AMIN

azzarachel said...

Poleni sana wafiwa. This is too painful. Mungu awafariji wakati huu mgumu.