Sunday, April 8, 2012

Maandalizi ya Semina ya Mwalimu Christopher Mwakasege

NOTE: Kuna mabadiliko kidogo ya tarehe ya siku ya Harambee, harambee ya maandalizi ya Semina ya Mwakasege itafanyika siku ya Jumapili ya April 29, samahani sana kwa usumbufu wowote ambao utakaoupata kwa mabadiliko hayo!!!

Ndg: ATUFIGWEGWE MPONI
Kwa niaba ya Kamati ya Maandalizi.
Watu wote mnakaribishwa katika Harambee (Fundraiser) ya maandalizi ya Semina ya mwalimu Christopher Mwakasege itakayofanyika Jumapili 15, 2012 katika Kanisa la
The Way of the Cross Gospel Ministries 3621 Campus Dr, College Park, MD 20740

No comments: