Tuesday, April 10, 2012

Mwanadiaspora Iddi Sandaly katika "Ana kwa Ana ya Vijimambo"

Hivi karibuni, blogger mwenzetu Luke Joe wa VIJIMAMBO alifanya mahojiano na
Mwanadiaspora Iddi Sandaly aishiye jimbo la Maryland hapa nchini Marekani katika utaratibu wake mpya wa kutambulisha wadau mbalimbali waTanzania wanaofanya shughuli mbalimbali hapa Marekani.
Hapa anaeleza mambo mbalimbali kuanzia historia ya maisha yake kwa ufupi alikotoka mpaka hapa alipo, shughuli alizowahi kufanya, na ushauri kwa waTanzania wanaopenda kuja Marekani kusomea masuala ya uhasibu biashara, madhara gani yanaweza kukukuta iwapo utakwepa kulipa kodi hapa Marekani, kitu gani kinachomkera zaidi kuhusu TRA na pia anaeleza ni kwa nini amejiingiza kwenye kinyang'anyiro cha kugombea uRais wa Jumuiya ya waTanzania waishio jiji la Washington DC, na majimbo ya mARYLAND NA vIRGINI (DMV)
Karibu uungane naye

No comments: