Hivi karibuni, blogger mwenzetu Luke Joe wa VIJIMAMBO alifanya mahojiano na
Mwanadiaspora Rehema Barksdale aishiye jimbo la Maryland hapa nchini Marekani katika utaratibu wake mpya wa kutambulisha wadau mbalimbali waTanzania wanaofanya shughuli mbalimbali hapa Marekani.
Hapa anaeleza mambo mbalimbali kuanzia historia ya maisha yake kwa ufupi alikotoka mpaka hapa alipo, shughuli alizowahi kufanya, vita / mapambano yake dhidi ya saratani ya matiti, na ushauri kwa waTanzania na ulimwengu mzima kuhusu Saratani ya matiti.
Karibu uungane naye
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment