Monday, July 23, 2012

Denzel Musumba....toka radioni, kuelekea bungeni

Hivi karibuni, Kaka Denzel Musumba, ambaye ni mwanzilishi na mkurugenzi wa East Africa Radio USA amerejea nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya kuanzisha kampeni yake ya Ubunge wa jimbo la Teso kusini.
Lakini pia, alipata nafasi ya kuhojiwa na Bwn. James Karani wa kituo cha KTN ambaye alizungumzia mengi kuhusu maisha ya waKenya hapa Marekani.
WaKenya wanakabiliana na changamoto ziwakumbazo waTanzania wengi.
Tuungane naye. Lakini mwishoni mwa mwaka jana tulifanya mahojiano naye kueleza mengi kuanzia alivyofika mpaka alivyoanzisha kituo cha East Africa Radio USA na pia mikakati ya kugombea Teso ya kusini. Mtazame hapa

No comments: