Hivi karibuni, blogger mwenzetu Luke Joe wa VIJIMAMBO alifanya mahojiano na
Mwanadiaspora KHAMSIN IDDI ALKHAG aishiye hapa nchini Marekani katika utaratibu wake mpya wa kutambulisha wadau mbalimbali waTanzania wanaofanya shughuli mbalimbali hapa Marekani.
Hapa anaeleza mambo mbalimbali kuanzia historia ya maisha yake kwa ufupi alikotoka mpaka hapa alipo, shughuli alizowahi kufanya.
Karibu uungane naye katika sehemu hizi mbili
Sehemu ya kwanza
Sehemu ya pili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment