Saturday, August 4, 2012
Ana kwa Ana na wanaCHADEMA Arusha na Washington DC
Hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Bwn. Amani Goligwa aliyeambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA tawi la Washington DC (DMV) Bwn. Cosmas Wambura.
Wamezungumzia mengi kuhusu CHADEMA kwa ngazi za Mkoa na TAWI na uhusiano unaojengwa miongoni mwao.
Wajibu wa CHADEMA katika DIASPORA na mikakati iliyonayo kuhakikisha Tanzania inasonga mbele.
Ujumbe wowote kwa wanaCCM?
Upo. Tazama na sikiliza uupate
Karibu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Ukimsikiliza huyu mchungaji na mwenyekiti Wa chadema hapa DMV utagundua nia ya dhati ya kupambana name umaskini na kuiondoa Tanzania kwenye wimbi zito la sintofahamu inayofanywa na viongozi mafisadi Wa ccm.tena unaona busara walizonazo hawa watu Wa chadema ni tofautI kabisa na wale viongozi wapumbavu Wa ccm DMV waliiongea Siku kadhaa zilizopita nikimaanisha katibu mwenezi Wa ccm DMV na katibu Wa vijana, with Kama wale ni malimbukeni Wa kupindukia na hawafai kuwa viongozi,nawatakia kila LA kheri chadema mwendo mdundo.

Post a Comment