Hivi karibuni, blogger mwenzetu Luke Joe wa VIJIMAMBO alifanya mahojiano na
Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Bwn. Amani Golugwa almaarufu Mchungajii katika utaratibu wake mpya wa kuhojiana wadau mbalimbali waTanzania wanaoishi ndani na nje ya hapa Marekani.
Hapa anaeleza mambo mbalimbali kuanzia hali ya kisiasa mkoani Arusha, suala la kuvuliwa ubunge kwa Mhe. Lema, kiini cha sakata la uMeya huko Arusha,nini madhumuni ya ziara yake hapa Marekani?
Je! Anawaza kugombea ubunge?
Karibu uungane naye hapa
Mchungaji 2
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment