Hivi karibuni, blogger mwenzetu Luke Joe wa VIJIMAMBO alifanya mahojiano na
mkongwe wa ucharazaji wa gitaa la kati barani Afrika, LOKASSA YA MBONGO katika utaratibu wake mpya wa kuhojiana wadau mbalimbali.
Katika sehemu hii ya kwanza, Lokassa ambaye alipewa jina hilo na mkongwe Tabu Ley Rochereau wakati akiwa na miaka 16, anelezea safari yake ndefu na ya kusisimua kwenye muziki iliyopitia mabonde na milima ya mafanikio na yenye mafunzo mengi.
MSKILIZE
Shukurani kwa Felix Muzungu mtafsili wetu wa kifaransa kwa kiingereza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment