Tuesday, May 7, 2013

Ana kwa Ana na Dj Joe CatDaddy

Dj Joe CatDaddy akieleza jambo alipohojiwa na Mzee wa Changamoto
Dj Joe CatDaddy (kulia) akiwa na mpiga picha na mhariri mkuu wa Jamii Production Abou Shatry punde baada ya mahojiano
Karibu katika mahojiano kati ya Jamii Production na mmoja kati ya maDj waTanzania ambao kwa zaidi ya muongo mmoja amekuwa akifanya kazi katika kituo kinachoongoza kwa burudani katika maeneo ya Washington DC cha Kiss Fm (93.9 FM WKYS).
Katika mahojiano haya, Dj Joe anaeleza mengi yakiwemo
01: Historia yake japo kwa ufupi
02: Kilichomvutia mpaka akaingia katika sanaa hii ya uDj.
03: Ilikuwaje akapata kazi katika kituo cha Radio hapa Washington DC
04: Nini tofauti kati ya kuDj miaka aliyoanza na sasa.
05: Ni aina gani ya muziki anayoshiriki kupiga pale WKYS
06: Nini msanii anastahili kufanya ili nyimbo zake zipate "air time" WKYS?
07: Anaamini ni nini tatizo kwa wasanii wa Afrika Mashariki kuvuka mipaka ya kimataifa?
08: Changamoto anazokutana nazo na anakabiliana nazo vipi?
09: Nini mipango yake ijayo?
10: Ana ushauri gani kwa wasanii?
KARIBU UJIUNGE NASI

No comments: