Nikimhoji Mwenyekiti wa kamati ya Kichuri Day Bwn. Waigama
Wakurya waishio maeneo ya Washington DC na vitongozi vyake, jumamosi ya
Mei 25 mwaka huu walikutana na kwa mara ya kwanza ya kujuana,
kujadiliana kuhusu kabila lao na pia kula chakula cha kikwao.Katika siku hiyo waliyoiita Kichuri Day, kulikuwa na mambo mengi yaliyoakisi maisha yao ya nyumbani Tanzania ikiwemo chakula, muziki wa kikwao.
Mzee wa Changamoto nilialikwa kwa watani wangu hawa na hii ni taarifa kamili.
No comments:
Post a Comment