Bwn Alex John Luketa akielezea jinsi ya kujiunga na chuo hicho hasa kwa wanafunzi wa kutoka Tanzania hebu msikilize
Baadhi ya wanafunzi Watanzania wanaosoma Chuo Kikuu cha Kimataifa Virginia.
Kutoka kushoto ni Alex John Luketa(student recruitment and marketing assistant in Virginia international University ), Veronica N Magacha , Cathereen Virginia Minja, Rehema Waziri, Winfrida Josephat na Jose Fabian
Bendera ya Tanzania inayowawakilisha wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma chuo hicho cha Virginia International University. ikipitishwa mbele na mwanafunzi wa Kitanzania Winfrida Josephat.
Bendera za nchi mbalimbali zinazowawakilisha wanafunzi na nchi wanazotoka zikisimikwa.
Juu na chini ni picha ya pamoja ya wanafunzi waliomaliza chuo
Habari kwa mujibu wa DJ Luke Joe
No comments:
Post a Comment