Monday, July 15, 2013

Karibu GENN Radio

Baada ya muda mrefu wa kusaka KIOTA cha kuweza kuELIMISHA, kuBURUDISHA, na kuiKOMBOA JAMII katika utumwa wa kiFIKRA, hatimaye mwisho huo unaelekea kufika punde kwa Jamii Production kuanza kurusha matangazo yake ya Radio kupitia kituo KIPYA NA CHA KISASA CHA GENN
Genn, chenye maskani huko Kansas City, ni kituo kipya na kimeanza kurusha matangazo yake ya majaribio yapata mwezi mmoja uliopita.
Na...
Jamii Production, itaanza matangazo ya majaribio na moja kwa moja Jumamosi hii kupitia kituo hiki (InshAllah)
Usikose kujiunga nasi kujua nini kitafuata kupitia hapo

No comments: