Sunday, September 8, 2013

Weka kwenye kalenda yako

THE ASSOCIATION OF THE TANZANIAN COMMUNITY
TANGAZO
WEKA KWENYA KALENDA YAKO
 
·      SATURDAY,  SEPTEMBER 28, 2013, 3PM- 6PM,
G-FEST GLOBAL  LANGUAGES  AND  CULTURES FESTIVAL”
1307 L STREET NW, WASHINGTON DC
Link : https://gln-gfestival.eventbrite.com/
·      SATURDAY, OCTOBER 12, 2013, 4PM-8PM
MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV ( WANACHAMA NA WASIOKUWA WANACHAMA)
MIRAGE HALL, LANGLEY PARK, MARYLAND
Link: watanzaniadmv.org
·      SATURDAY OCTOBER 19, 2013, 3PM – 5PM
KUFUNGULIWA KWA DARASA LA KISWAHILI  (WANAFUNZI WAPYA NA WALE WANAOENDELEA)
COLLEGE PARK , MARYLAND
 
MUNGU IBARIKI TANZANIA

No comments: