Monday, June 16, 2014

Mahojiano ya moja kwa moja na Anna Mwalagho kuhusu Tamasha lijalo

Anna Mwalagho.
Photo Credits Anna Mwalagho Facebook page
 Karibu katika mahojiano mafupi na ya moja kwa moja kati ya msanii Anna Mwalagho na Kwanza Production kwenye kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi Juni 14, 2014
Amezungumzia tamasha kubwa linaloendelea ambalo atatumbuiza pamoja na kikundi chake kwa siku tatu
Tamasha hilo linaandaliwa kwa ushirikiano wa watu wa Oman na maktaba ya sanaa za waAfrika hapa Washington DC
Karibu usikilize

No comments: