Thursday, June 19, 2014

Usikose kusikiliza kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi hii

Haika Lawere akiwa tayari kwa mahojiano na Kwanza Production ya Washington DC
 Katika NJE-NDANI ya Kwanza Production na Border Radio wiki hii, mbali na habari kuhusu Afrika, utasikia mahojiano yangu na Haika Lawere.
Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel ya Dar Es Salaam Tanzania
Amekuwa mkarimu zana kujiunga nami hapa Maryland USA kuzungumza mengi kuhusu maisha na ujasiriamali.
Haika Lawere akizungumza na wanawake kwenye tukio la wanawake waTanzania Washington DC
Photo Credits: IskaJojo Studios 
Usikose kujiunga nami Mubelwa Bandio jumamosi katika kipindi cha NJE NDANI kuanzia saa sita mpaka saa nane mchana kupitia www.kwanzaproduction.com ama www.bordermediagroup.com

No comments: