Tuesday, October 13, 2020
Mahojiano na Innocent Galinoma Sept 17 2016
Karibu katika mahojiano haya niliyofanya Septemba 17, 2016 na Innocent Galinoma.
Mahojiano haya nimeyaleta kama yalivyosikika kwenye kipindi cha REGGAE TIME ya Pride Fm Mtwara Tanzania ambacho kilikuwa kikitayarishwa na kutuka kutoka hapa Maryland nchini Marekani.
Innocent Galinoma ambaye maskani yake ni Minneapolis katika jimbo la Minnessotta, alikuwa mkarimu sana kutenga muda wake alipokuwa Washington DC, kufika Kilimanjaro Studios kwa mahojiano.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment