Tuesday, October 13, 2020

[VIDEO]: Habari Azam TV: Aug 8, 2020. Midahalo uchaguzi mkuu Marekani 2020

Mdahalo wa pili wa wagombea wa urais nchini Marekani huenda ukaota mbawa baada ya Rais Donald Trump kusema hayuko tayari kushiriki mdahalo huo kwa njia ya mtandao kama ambavyo imependekezwa na tume inayoratibu midahalo nchini Marekani. Karibu katika taarifa na mjadala kuhusu hili

No comments: