Monday, March 22, 2021
255 Info Package ya Kwanza Radio EP1 Machi 17, 2021
Karibu kwenye show kabambe yenye muziki na habari mbalimbali za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania.
Mr Presenter anakupitisha kwenye taarifa mbalimbali za kimuziki ikiwemo mgodi wenye habari mbalimbali za muziki na wanamuziki wa Bongo Flava.
Ni kila Jumatatu saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi kamili kwa saa za Marekani ya Mashariki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment